To those who know how to open their spiritual eyes

To those who know how to open their spiritual eyes

It seems very interesting.To anyone who knows how to open spiritual eyes please I need this education.
Kipindi fulani Kada mmoja maarufu sana wa CCM aliwahi kutembelea maeneo ya kijijini kwetu kule usukumani, Bariadi, kwa nia ya kufanya mkutano ili aweze kuongea na wananchi
Siku ya mkutano kada huyu alipanda jukwaani na pasipo kuwa na clue yoyote kwamba wasukuma kipindi hicho walikuwa hawajui kabisa Kiswahili, alinyoosha mkonn juu na kuwaambia wanachi "CCM JUU" lakini watu hawakujibu chochote, walikaa kimya. Baada ya ukimya huo, alirudia tena akasema "CCM JUU". lakini bado wananchi waliendelea kuwa kimya
Baada ya kuona hivyo, kada alistuka na kuamua kubadilisha lugha; kwa bahati nzuri alikuwa anajua kuongea kisukuma. Safari hii alisema kwa kisukuma "CCM HIGULYA" na baada ya hapo watu wote waliitikia kwa kishindo kikuu wakisema "HIGKUYA, HIGULYA, HIGULYA ZIGIZIGI"
 
Back
Top Bottom