‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

Ukipenda boga upende na uwa lake, Upo tayari au hukujipanga kwa hilo?

Maana baadhi ya njemba za JF mnakuwaga na Genye M'bwatuko kiasi cha kupenda ID
Mkuu sio nyege, nielewe nasisistiza tena ni MOYO
 
Ukipenda huna wivu

Wivu ni ushamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We juz si ulikua unajifanya mtumishi una fanya utabiri kuhusu ccm na Tanzania leo upo huku unatongoza daaah kweli "k" ni balaaa

Na wewe una mtaka huyo maza?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom