To you Ephen

To you Ephen

Tena wewe dogo ndio usije jaribu kufanya huu uhuni, unless awe tayari ni demu wako. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sikuji jaribu... Hata kugusu mtu ambaye ni JF-Expert Member
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...
Na ikitokea bahati mbaya jua kuna namna either mshana kahusika hapo
 
Jitahidini kuziweka Wazi, huenda ukapata chaguo lako huku huku

Hata kama hamtafikia Kuoana(Ndoa) lakini baada ya mahusiano utakuwa umepata uzoefu (Experience) πŸ€—

Kama Kazini wanataka uzoefu wa miaka 3 na kuendelea vipi ndoani πŸ˜…

Mwenzio akisema babe leo naomba unipee Popokanyea Mbingu, inakuwa faster unaijua πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Tatizo pm wakiombwa afu tatu hawana uvumilivu, mara mbio mbio jukwaani kushusha uzi.!!

Yy inatakiwa ajibu, β€œMchumba usijali nitakupa hiyo pesa, ila nivumilie kuna mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe ni muhimu sana kuliko hiyo afu tatu” Mtu anakuelewa.

Lakini wenyewe tayari ohh ana njaa, anaomba mpk afu tatu. Kuna muda sisi wanawake tunakupima kwa vitu vidogo tuone uvumilivu wako 😜
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Ephen usifanye hivyo Kijana anatumia hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You are the one to cure his heart 😊
 
Tatizo pm wakiombwa afu tatu hawana uvumilivu, mara mbio mbio jukwaani kushusha uzi.!!

Yy inatakiwa ajibu, β€œMchumba usijali nitakupa hiyo pesa, ila nivumilie kuna mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe ni muhimu sana kuliko hiyo afu tatu” Mtu anakuelewa.

Lakini wenyewe tayari ohh ana njaa, anaomba mpk afu tatu. Kuna muda sisi wanawake tunakupima kwa vitu vidogo tuone uvumilivu wako 😜
Hahaha.............hawajui ukiwa bahili Wanawake wote wazuri watabaki kuwaita Shemeji

Tena Ukute ameamua kukurusha roho, anatoka mazoezini na ile skin tight halafu nyuma mzigo huo kisha anaweka status

Unaishia kupaliwa na mate tu πŸ€—
 
Ndio babu sisi wanawake tunapenda vitu vya kijinga kijinga km pesa 😜
 
Back
Top Bottom