To you Mo11

Dah....kweli nimeamini..wanaume ukiwa huna heka mababea hawakutaki. Ukitafuta hela ukazipata wanakucheat mchana kweupeeee kisa uko busy kusaka hela


Suluhisho ni nini?

Cc Asprin kwa taarifa

Bcc Sky Eclat Sakayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Suluhisho hommie ni kusugua goti kwa kukesha na kuomba. Kwa maana wale alionipa baba sijampoteza hata mmoja.

Hommie, kikombe alichokupa baba hutakinywa? Hata kwa saa moja?

Cc Sky Eclat Sakayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…