HAIMAANISHI BY JOLIE
Hautaki ata niulize, Ulikuwa wapi
Jibu lako kubwa ni ubize na washikaji
Mimi nilitoka machozi mwanzoni
Now nishazoea
Mikiki na vitimbi ni mapeenzi
Najaribu kuiforce furaha, nisikukere
Labda ukimya wangu unakupa raha
mi sielewi
Nimeamua niachae makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Sikuulizi ili nikukere, nakujalii
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku uake unielewe
Kwamba mimi ndo yule (ndo yule)
[CHORUS]
Haimaanishi
Sihangaiki nawe kwenye akili yangu
Haimaanishi
Upendo wako uwe fimbo au pingu kwangu Sio rahisi
Nisahau sura yako kwenye mboni yangu Sio rahisi
Kuiandika talaka kwa vidole vyangu
Japo sijui kusoma ila picha nimeiona (nimeiona)
Una mpango wa kando, nafsi yangu unaichoma aah
Nikikuuliza maswali, unakoroma
Kumbatia uongo ila ukweli uakuponya aah Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Sikuulizi ili nikukere nakujali
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Kwamba mimi ndo yule (ndo yule)
[CHORUS]
Haimaanishi
Sihangaiki nawe kwenye akili yangu
Haimaanishi
Upendo wako uwe fimbo au pingu kwangu
Sio rahisi
Nisahau sura yako kwenye mboni yangu
Sio rahisi
Kuiandika talaka kwa vidole vyangu ooh Oh yeah yeah yeah….
Wacha niuchunge ulimi
Usije ukaponza kichwa
Bora niuchunge ulimi wangu
Usije ukaponza kichwa
Kichwa
kichwa
Cc
MO11