To you Mo11

To you Mo11

Ebu ngoja siku yakuja nita andaa mambo zenye zina sababisha kubomoa mahusiano kwa dada zangu wote humu jf....
Hiyo siku jitahidi kuweka some tips, tricks and mechanisms zaku maintain relationship
Ooooh!! Basi nasubiri.
 
HAIMAANISHI BY JOLIE

Hautaki ata niulize, Ulikuwa wapi
Jibu lako kubwa ni ubize na washikaji
Mimi nilitoka machozi mwanzoni
Now nishazoea
Mikiki na vitimbi ni mapeenzi
Najaribu kuiforce furaha, nisikukere
Labda ukimya wangu unakupa raha
mi sielewi
Nimeamua niachae makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Sikuulizi ili nikukere, nakujalii
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku uake unielewe
Kwamba mimi ndo yule (ndo yule)

[CHORUS]
Haimaanishi
Sihangaiki nawe kwenye akili yangu
Haimaanishi
Upendo wako uwe fimbo au pingu kwangu Sio rahisi
Nisahau sura yako kwenye mboni yangu Sio rahisi
Kuiandika talaka kwa vidole vyangu


Japo sijui kusoma ila picha nimeiona (nimeiona)
Una mpango wa kando, nafsi yangu unaichoma aah
Nikikuuliza maswali, unakoroma
Kumbatia uongo ila ukweli uakuponya aah Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Sikuulizi ili nikukere nakujali
Nimeamua niache makelele
Mpaka siku ukae unielewe
Kwamba mimi ndo yule (ndo yule)

[CHORUS]
Haimaanishi
Sihangaiki nawe kwenye akili yangu
Haimaanishi
Upendo wako uwe fimbo au pingu kwangu
Sio rahisi
Nisahau sura yako kwenye mboni yangu
Sio rahisi
Kuiandika talaka kwa vidole vyangu ooh Oh yeah yeah yeah….

Wacha niuchunge ulimi
Usije ukaponza kichwa
Bora niuchunge ulimi wangu
Usije ukaponza kichwa
Kichwa
kichwa


Cc MO11
Ohhhppppssss.....
Pole sana mkuu, kwanza ndio nimepata wasaha wa kusoma hii uzi.
Jambo pekee lenye naweza kukushauri kama mzowefu wa hii kiwandani ni kwamba, you can not rescue your love with or by fight.....
Please kaa kwenye kiti chako kama mama/mke ndani ya Boma, and don't try to change the nature kwamba wewe ukuwe beberu.
 
Back
Top Bottom