To you Mo11

To you Mo11

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kunifukuza mm sinaga hizo natumia kitorch
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sakayo tangu jana anavidio kolu tu. Yule mtoto ashanishinda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kaka wa mimi unaunga mkono hoja ipi kwanza?
Hisia ni jambo gumu kidogo kulielezea, pengine inahitaji kujifyatua lock kwa sehem kama humu ndani.... ili uweze kuelezea kile unacho kiamini na hata ukaeleweka kwa mtazamo chanya, hata kwa akina saa mbovu kama mimi...tehteehh
 
Back
Top Bottom