Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Sana mzee ila skiiza maneno ya bi dada maana wimbo umeongeahatari sana hiyo nyimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mzee ila skiiza maneno ya bi dada maana wimbo umeongeahatari sana hiyo nyimbo
Naona hadi aibu
Kumbe mahaba mabaya..hadi wewe unaona aibu mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona hadi aibu
sina hata la kuandikaKumbe mahaba mabaya..hadi wewe unaona aibu mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unauchezea utamu wako....ulete kwangu.My kaka nisaidie kwakweli maana huyu mtu ni sikio la kufa.
leo ndo nimejua kwamba sijui nachotaka
Ndio bebee,nataka niwe J wako kabisa!Bebee utakuwa kama J?
how and why ?Naona unauchezea utamu wako....ulete kwangu.
Niponde ponde kama nyanya[emoji443][emoji441]Sijui kwa ni nini nikiona hizi ishu huwa nakumbuka wimbo wa Maua sama,Mahaba niue.... nahisi ni best sweet raggae song katika bongo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Auntie chooni ni paleeee, hebu nenda haraka alafu kitandani unapajua.Anko umeanza basi unataka kunifukuza mimi nipo nasherehekea apa kushushiwa thread na auntie yangu hili sio jambo dogo anko wameachwa wangapiiii mpaka ushushiwe wewe thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu tuendelee kusherehekea anko wangu [emoji8]
leo sikio la kufa limesikia dawaMy kaka nisaidie kwakweli maana huyu mtu ni sikio la kufa.
Kuanzia leo unatakiwa ujue, huyu mwanamke wako unajua mwenyewe kwamba simkubali ila nimemwonea imanileo ndo nimejua kwamba sijui nachotaka