To you Mo11

To you Mo11

Ukweli
Kwani kabla hajawa na anko si ulikuwa unamwona lakiniii.... Kwa nini hukumuwahii
Sikutaka kukurupuka kabisa
Nilikua naendelea kumchunguza

Na sasa nimeona ndio wakati sahihi
 
Siyo kwelii bebee!

Kwa upendo nilionao nimeamua tu niwe hata mdaka chozi na kama itakupendeza huko mbeleni unifanye anko wake kamili
Usicheze mbali kama Tony.
 
Back
Top Bottom