Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni zaidi ya TonyUsicheze mbali kama Tony.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wakati wa Bwana ndio wakati sahihi.
PM au nikupigie kabisa simu?Ewaaaaa
Halafu niko na ujumbe wako, unaweza nipm
SawaMi nimekubali kuwa mdaka chozi
Mwenye mali acha aendelee kumiliki
Wana watoto sitaSi bado hawajawa official
Hivyo nahisi kama nina nafasi ya kupindua matokeo
Jamani auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavyotia huruma sasa!!
Napokea hela ya anko mo tuuuUnakataa pesa kwelii?
Hahaha hahaha hahahaMweeeh!![emoji134][emoji134]
Umeshindikana.
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wakati wa Bwana ndio wakati sahihi.
Ni upendo wa agape[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli alichokulisha uncle wako nami nataka nimlishe mtu.
Anaumwa nini jamaniii?!PM au nikupigie kabisa simu?
Afu Kachuro anaumwa mbaya. Nimemtoa hospitali leo
Hivi namba zake kumbe huna?Anaumwa nini jamaniii?!
Mpe pole sana aki, nitakuja kumsalimia this Sunday
Hii ni habari njema kwanguWana watoto sita
Niko nazoHivi namba zake kumbe huna?