To you Mo11

To you Mo11

kwa ninayoyaona humu unaweza ukampindua auntie yako
mimi ananipa stress
nimuwaze yeye
niwaze hela
niiwaze simba
niiwaze arsenal
halafu vyote vinipe tabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mume wangu una hali mbaya, sio kwa mawazo hayo[emoji134][emoji134][emoji134]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nakwambia nakupenda mm ungekuwa sio mume wa auntie yangu ningekuiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani anko wangu pole kumbe we ni arsenal kwa nn auntie nae anazidi kukutesa
Hahahhaha unastahili kwenda wapi anko wangu kipenzi ninayekupenda
Okey oke okey[emoji848][emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mume wangu una hali mbaya, sio kwa mawazo hayo[emoji134][emoji134][emoji134]
kushabikia simba na arsenal ni viherehere vyangu ila sio kwako ww
ulitakiwa unifariji aaarrrgghh
 
Back
Top Bottom