To you my love

Mahaba kama yote yan....


Mahaba niuwe mahaba niteketezeeeeee

Inaonekana una mahaba mazito kama Nape na Ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenza, mie yalinishinda.
Mme gani mwezi wa 4 huu hajui mkewe anakula na kulala wapi.
Akha!!!
Nakuachia upambane na huba lako mie nilijipa talaka mwenyewe.
Sahv nachanua na penzi jipya la mwanaume bikra
Sasa mwenza ndio kimya kimya unaniachia msala peke yangu!!!

MO11 nami nataka talaka yangu kwakweli. Ukuje uniandikie leo.
 
Sasa mwenza ndio kimya kimya unaniachia msala peke yangu!!!

MO11 nami nataka talaka yangu kwakweli. Ukuje uniandikie leo.
Mwambie akupe.
Nimemkuta mtaa wa 7 hukooooo anapuyanga kutafuta penzi jipya.
Utaletewa mwenza ndani....shauri zako.
Na akupe talaka mwaya.....sahv akina Uchebe kibao.
Unajizolea tu mmoja....unakuwa rimoti kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…