Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Hapana jaman sina mazoe kabisa na wanawake wa jfWe ndo umemficha nini...naona mnachekeana
Valentina njoo hapaaaaaaa
Ndio....mwanamke matashtiti babu weeeee
Lazim itoke mwenza.Ambiele Kiviele usimkaushe uzazi mke mwenza wangu.
Wanaume mmejaa wengi saaaaana.
Hatutaki stress zama hizi za anko Magu.
Mwenza, pambana mwaya....talaka itatoka tu
Acha mkwe[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mkwe
Wewe ndio mchokozi..
Niendelee kusema?
Mwenzio nimewekwa ndani nafundwa namna ya kuishi na Mwanyasi, kwani amu hajakupa za motomoto?Ameeen.
Haya, nani kakuficha.
Maana umepotea mpaka wasap naona giza tu
Najua shemeji hawezi kukudanganya ila anaweza akawa amechanganya madawa kwa bahati mbayaHahaha kwa hiyo mm mme wangu kanidanganya?? Haiwezekan kaka hajawah niongopea
Abeeeee......Hapana jaman sina mazoe kabisa na wanawake wa jf
Yan hawa wanawake kwangu huwa nawaona kama mama zangu
love all mwaaaah nawapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nilivyo msikivu kama Mbwa wa kizungu.Acha mkwe[emoji85] [emoji85] [emoji85]
@Madame B inaonekana mtam ww mama acha tuuuNdio....mwanamke matashtiti babu weeeee
Ha haa siri yetuWe ndo umemficha nini...naona mnachekeana
Valentina njoo hapaaaaaaa
amu mbaya sana....Mwenzio nimewekwa ndani nafundwa namna ya kuishi na Mwanyasi, kwani amu hajakupa za motomoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahaha hilo la kuchanganya madawa nakubali hata me hua anchanganyia sometimesNajua shemeji hawezi kukudanganya ila anaweza akawa amechanganya madawa kwa bahati mbaya
MO11 nishaachana nae.@Madame B inaonekana mtam ww mama acha tuuu
Nshije sema sana nkalogwa na MO11
Sent using Jamii Forums mobile app
Amin nnacho kwambia uyo Madame B kuna kichaka kakipata huko mwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unataka unicheleweshee talaka wewe.
Ewalaaaaa!!Na mimi nilivyo msikivu kama Mbwa wa kizungu.
Nimeacha kama ulivyosema niache.
Umeona sis, basi nyie subirini tu, siku ya kutambulishwa wifi yako utamjua dadaHahahahhahaha hilo la kuchanganya madawa nakubali hata me hua anchanganyia sometimes
Ndio mama zako hao[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]@Madame B inaonekana mtam ww mama acha tuuu
Nshije sema sana nkalogwa na MO11
Sent using Jamii Forums mobile app
amu hapa hawez kuja na hata akija hawez kuwa huru sana sijui lakin....amu mbaya sana....
Hata kunipa ya uvunguni, na unajua kabisa sie ndo wasasambuaji pale kati.
Hongera mwaya...naona unataka kujilia vya halali
Sie ni kama pichu na kota.Uyo MadameB anaondoka kuna chaka kapata
Sasa wew mwenzangu?
Au na ww umepata chaka?
Sent using Jamii Forums mobile app