Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Hapana jaman sina mazoe kabisa na wanawake wa jfWe ndo umemficha nini...naona mnachekeana
Valentina njoo hapaaaaaaa
Yan hawa wanawake kwangu huwa nawaona kama mama zangu
love all mwaaaah nawapenda
Sent using Jamii Forums mobile app