Mmmhh sina mipesa mie..Da vinci Almasi mchangan sema bado haijastukiwa
Uyo espy kaona vipande vya chupa tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mim tuuuDaaah ndio maana nasema wachuchu wa humu ni ndoto kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza hana pesa....
Afu mtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtt ndio mzur mnakuwa mnamfuga kama kuku akiwa wazingua mnamtia mikwenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmhhh Alufu ww Madame B ww ngoja tuuuUnataka kututafuna?
Sie kama maembe.
Tukiwa machanga tunaliwa na chumvi, tukikomaa tunaliwa salsa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena akae mita 100 kama yuko kwenye uchaguzi wa Madiwani wa M4C Arachuga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akae mbali na sisi.
Lengo la huu uzi ni kunipa madongo
Hii inaitwa kamat ya maangamiz [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akae mbali na sisi.
Si ndio uzitafute kwanza, utatukuta mbele ta safari ukishazipata.Hela zinatafutwa zikipatikana tutakula raha pamoja. Usiogope
Achana nae anajipa matumaini tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thubutu yako!
We bado mtoto bwana, tutashtakiwa na jamhuri.Mdogo kiakili?
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wa hivyo hapana, mume sharti awe na sauti na matashtiti kidogo.