Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Wap ww umeona vyupa vya soda unasema madinYaani ach kabisa, tutamfaidi balaa, alafu pesa pia ipo.
Mtakuja kumkumbuka Davinci wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wap ww umeona vyupa vya soda unasema madinYaani ach kabisa, tutamfaidi balaa, alafu pesa pia ipo.
Huyo kwanza mbahili hata vocha alininyimaaAfadhali....chaaaaaaa!!!!!
Hapa mabaha hakuna
Kabisa.Tena akae mita 100 kama yuko kwenye uchaguzi wa Madiwani wa M4C Arachuga
HongeraSihitaji tu kupenda tena mimi nampenda daktari najuta kwa mabaya yote niliyofanya lakini anatambua hilo nimedata kwake mpaka nywila ya Jf nimempa nitake nini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa!!
Madame b anakufaaaLengo langu nipate mwanamke asiyejali kama napokea efu 10 au milion kwa mwez
Yani dada hapa naona comment mbili mbili sasa navuta hii comment yako nipate cha kujibu nimekosaa jamani hebu nipe ka summary kidogoHapa mabaha hakuna
Mwanaume yuko juu juu kama mshono wa operation.
Mwanaume amekaa anasubiri kula kiinua mgongo cha mwenzake....huu ni ufisadi
Ah ah ah iv mhsika akisoma hapa anajisikiaje [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]We bado unanuka maziwa.
Sasa mwanume kama hauna pesa unataka mwanamke wa kumfanyia nini? Hata hamu unatoa wapi sasa!! Au ndio anataka aanze kutupa pressure za ujanani!!!Achana nae anajipa matumaini tu.
Mwambie mwanaume asie na pesa, kwetu tunamuona kama debe tupu...haliachi kutika
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Heheeeeeee
We baba, hebu tuache, kwani wanawake kwa wanawake hawatakiwi kupendana.
Mnataka tuwapende nyie....tafuteni pesa.
Tutawapenda mpaka mtashangaa
Usijali tutakusubiri mtoto mzuri[emoji12] [emoji12] [emoji12]Sawa
Hivi mbona umekaza na kumkuwadia mwenzio?
Shida nin?Hilo silijui kwanza kila nikiingia jf nakosa rahaaa sasa nifanye utaratibu mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujaliwin ndio maana tunasak bwana hapa atufuge.Haina noma mlio win life
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wakina nan sasa wamchambue nyie ndio wakumchambuaTunamsubiri awe dhahabu sokoni, huko mchangani acha wampembue wengine kwanza.
Acha upambe.