Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Summary mdogo wangu ni huyu Da'Vinci na Ambiele Kiviele wanataka mademu wakati wabahiri.Yani dada hapa naona comment mbili mbili sasa navuta hii comment yako nipate cha kujibu nimekosaa jamani hebu nipe ka summary kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae huyo anatanga tanga tu n kudandia wake za watu. Ambiele ukikikuta usoni usimtafute mchawi.Sihitaji tu kupenda tena mimi nampenda daktari najuta kwa mabaya yote niliyofanya lakini anatambua hilo nimedata kwake mpaka nywila ya Jf nimempa nitake nini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah ah ah ah ah [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapa mabaha hakuna
Mwanaume yuko juu juu kama mshono wa operation.
Mwanaume amekaa anasubiri kula kiinua mgongo cha mwenzake....huu ni ufisadi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Lengo langu nipate mwanamke asiyejali kama napokea efu 10 au milion kwa mwez
[emoji12] [emoji12] [emoji12] ah ah ahYani dada hapa naona comment mbili mbili sasa navuta hii comment yako nipate cha kujibu nimekosaa jamani hebu nipe ka summary kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
NashangaaSasa mwanume kama hauna pesa unataka mwanamke wa kumfanyia nini? Hata hamu unatoa wapi sasa!! Au ndio anataka aanze kutupa pressure za ujanani!!!
Mapenz sio pesa bhana nshakwambia Davinci almas mchanganSasa mwanume kama hauna pesa unataka mwanamke wa kumfanyia nini? Hata hamu unatoa wapi sasa!! Au ndio anataka aanze kutupa pressure za ujanani!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sie hatuzeeki, kama wine vile.
Almasi mchangani kwa wenye sonara.
Tukimkumbuka si tunamfuata, akitukataa tunamloga. Uziri shem wetu mshana jr yupo hatuna shida.Wap ww umeona vyupa vya soda unasema madin
Mtakuja kumkumbuka Davinci wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah ah ah ah hapo naona Demiss mada kaielewa na kaipenda ngoja aweke simu chaj sasaSummary mdogo wangu ni huyu Da'Vinci na Ambiele Kiviele wanataka mademu wakati wabahiri.
Afu sie tunataka mume wa mmoja na mwenza espy maana tumetoka mbali sana
Atoe hiyo 10
Hahahaaa!! Ambiele hafai hata kwa kurumangia.Hapa mabaha hakuna
Mwanaume yuko juu juu kama mshono wa operation.
Mwanaume amekaa anasubiri kula kiinua mgongo cha mwenzake....huu ni ufisadi
Ah ah ah ah ah sijawai mtongoza mwanamke yeyote jf jamanAchana nae huyo anatanga tanga tu n kudandia wake za watu. Ambiele ukikikuta usoni usimtafute mchawi.
Sie tutashirikian nae kuzitumia akishazipata, kwasasa azitafute kwanza.