Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Hahaha, Ndio maana niko chimbo nazitafuta $ na £ ,za kutoshaNashangaa
Kukiwa na kapesa hata mwili unajitengenezea genye wenyewe.
Aende zake huko....akatafute pesa.
Mwanaume kutafuta, mwanamke kutumia
Hawa wa wapiiiiiii.......
Mambo ni fireMambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] haya ni zaidi ya mahaba
Hatuna makuu wote tukipata pa kutulia, mie na mwenza tunatulia kwenye pesa na kweli hatuna makuu.
Nawaelewa vzrHata mimi nimeshindwa kuwaelewa kwakweli, atajihisi hana nguvu kumbe ni pesa hakuna. Pesa kitu ingine, waitafute tu.
Kabisa.Hata mimi nimeshindwa kuwaelewa kwakweli, atajihisi hana nguvu kumbe ni pesa hakuna. Pesa kitu ingine, waitafute tu.
Hivi tangu nakuita ulikuwa wapi?Mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] haya ni zaidi ya mahaba
Yote yanawezekana show ikiwa nzurTena bora aje....mmezidi kitonga.
Yaani pensheni za MO11 ule wewe....kwani sie hatutaki pesa.
NakaziaMi simo kabisa mkuu, sema sehem kubwa na masaa mengi niliyatumia humu jf. Hivyo sikua na sehem yeyote ambapo nikiweza kukutana na marafiki na kujichanganya.
Alafu mkuu, ujue shida ya watu wengi huchukulia jf as if ni sehem very special, na hapo ndipo tunapo kosea.
Jf ni kama kitaa tu,na hata watu wa jf ndio wale wale ambao tuponao huku Ushirombo, so nothing special here mkuu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana yake.Dah hili jibu kiboko,salute kwako Mkuu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Sema naongea na mme wangu nitarud nikupakee vya kutoshaa mxeeew mbahili wewe nakwambiaAh ah ah ah ah ah hapo naona Demiss mada kaielewa na kaipenda ngoja aweke simu chaj sasa
Aje na maneno yake ya shombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bichwa lako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewaona kt, kumepoozaaaa.Sakayo anakusalimia auntie
Na ndio maana hatuwataki.
Unataka tukujaribishie?
Pesa itatafutwa tuuu lakin sio kwa kama mnavyo sema nyinyiHata mimi nimeshindwa kuwaelewa kwakweli, atajihisi hana nguvu kumbe ni pesa hakuna. Pesa kitu ingine, waitafute tu.
Bora nikeshe chaka kuzisaka £ na $Kabisa.
Watakesha kwa waganga kutafuta nguvu za kiume....kumbe hawana pesa.
Pole zao
Ewaahh nilikuwa naongea na shem wakoTena bora aje....mmezidi kitonga.
Yaani pensheni za MO11 ule wewe....kwani sie hatutaki pesa.