Kiukweli nikipigwa naww hata viboko buku havitauma..
Mm tu ndio nawaogopa ila sio wote..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe nanyi mnatuogopa kama tunavyowaogopa!!! Kwahiyo tunaogopana!!!
Ila usijali, humu wema wapo sana tu, ukibahatisha hutojutia. Next month ni harusi ya my good friend mchumba wake wamekutana humu humu.
Sijakuelewa mlinda lindo jengo jeupe @bbdaeNatamani mahusiano yangu nayo yawe public though hakuna faida nitakayopta..
Brother msiwe mnatuigizia tu.
Unajua radha ya ziwa nililonyonya?Usituogope Dada zako .....
Bora usielewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm tu ndio nawaogopa ila sio wote..
Hongera kwao!
Sijui aise ila T yupo humu
Mkuu, kiukweli jf kuna wanawake poa na wanajiheshimu sana kama utabahatika kujiona nao nje ya jf.Humu sitaki mahusiano aisee labda kwa kutania. Nawaogopa wanawakewa humu JF
wengine tunapita kimya kimya
Nawapataje wakati wanavyopenda mue sina..Mkuu, kiukweli jf kuna wanawake poa na wanajiheshimu sana kama utabahatika kujiona nao nje ya jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mbona huanzishi uzi? Au unawapanga tu huko kimya kimya?Mkuu, kiukweli jf kuna wanawake poa na wanajiheshimu sana kama utabahatika kujiona nao nje ya jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwona anatuletea sitaki nataka ....
Si unaweza kunisimulia, kwani lazima niijue? Ndio unite Dada?Unajua radha ya ziwa nililonyonya?
Misipendwi humu mkuu, tena hawanitaki kabisa kwasababu ya liavatar langu libaya....tehteehhWe mbona huanzishi uzi? Au unawapanga tu huko kimya kimya?
Anataka sana basi tu haujamshikilia vizuri.Unamwona anatuletea sitaki nataka ....
Mara nawaogopa, Mara sitaki kuyaweka wazi...
Shauri yake atakosa kote