hata ingekua mmeendana honey, nisingejali babe sabab wakat wake uliisha huu n wangu, haha poa tualikuwa kama vile tulivyoanza babe pia hatukuwa tunaflow kiivyo in short hatukuwa tukiendana niishie kusema hivyo...umbea vp??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnashindwa kuelewa mim sijawai kuwa na urafik na Demiss
Sasa nashamgaa hili bandiko jaman
Mbaya zaid sijawainkuwa na uhusiano na mwanamke yeyote yule humu jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamka.
Safi sana.Auntie vyuma vimekaza mpaka mda wa kuingia jf sina
Nlimemuona.Khaaaaa
Ushafika uko mtafute yupo huko
Alafu yule sio uncle wako tena tumeachana rasmi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujikute tu labda copy yako
Unanifuata wapi?Hii mada nyingine kulalek
Ebu zimwageeeee ah ah ah ah ah
Sasa iv naenda kulala namfuta espy
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeua aiseeSijui niseme nini..Darling unanipa furaha ambayo sidhani kama kuna binadamu mwingine anapata katika hii dunia wewe unajua hili ila acha leo niitangazie dunia, umekuwa mhimili wangu wangu mkuu katika maisha yangu kwa sasa na badae Inshallah. Kupendwa na wewe haikuwa jambo rahisi ingawa tulikutana kiutani tukaishi kwa utani kwa muda fulani hatimae Allah akabless.
Wewe umekuwa sababu ya mimi kuamini tena katika mapenzi umenifungulia dunia yako sasa nimekuwa nnachotaka YES beb nimekuwa nnachotaka sasa. Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda (babe usiwaze ujinga hapa ππ), unanijali na kunithamini nini tena nataka mimi?? au nikuletee mwenzio..usinipe jibu.
Honey you are in my heart each and everyday i can't stop thinking about you..if you escape me directly am going to die wallah..swetie am nothing without you..trust me i live only for your happiness.
No one can ever put us out of our ways..i cannot imagine life without you Madame S nakupenda
Mpendane salamaSijui niseme nini..Darling unanipa furaha ambayo sidhani kama kuna binadamu mwingine anapata katika hii dunia wewe unajua hili ila acha leo niitangazie dunia, umekuwa mhimili wangu wangu mkuu katika maisha yangu kwa sasa na badae Inshallah. Kupendwa na wewe haikuwa jambo rahisi ingawa tulikutana kiutani tukaishi kwa utani kwa muda fulani hatimae Allah akabless.
Wewe umekuwa sababu ya mimi kuamini tena katika mapenzi umenifungulia dunia yako sasa nimekuwa nnachotaka YES beb nimekuwa nnachotaka sasa. Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda (babe usiwaze ujinga hapa ππ), unanijali na kunithamini nini tena nataka mimi?? au nikuletee mwenzio..usinipe jibu.
Honey you are in my heart each and everyday i can't stop thinking about you..if you escape me directly am going to die wallah..swetie am nothing without you..trust me i live only for your happiness.
No one can ever put us out of our ways..i cannot imagine life without you Madame S nakupenda
HahahaTungekuwa wabunifu kwenye mambo ya kimaendeleo kama haya tulivyowabunifu wa maneno basi tungekuwa tunaunda simu zetu tu kwa sasa.
Mnatumia route ndefu bure si mwende tu kwa Daby mrahisishe zoezi?Mhhh
Basi tuachane nae.
Tutafute mwingine....wewe huko katika kupuyanga kwako hujapata aliyekuwa anafanania na mtalaka MO11?