To you my love

To you my love

Babe wangu Wick uko wapi jamani uje ucopy mistari
Roses are Red,
Potato are Brown,
Wine is Red,
Turkey are brown,
Pepper is around just like Salt,
Forks n' Knives are there,
Playlist is sweet as the mistress,
Dinner is complete just like you are!.

As Russian says Shunie you are my Zvezda.
 
alikuwa kama vile tulivyoanza babe pia hatukuwa tunaflow kiivyo in short hatukuwa tukiendana niishie kusema hivyo...umbea vp??
hata ingekua mmeendana honey, nisingejali babe sabab wakat wake uliisha huu n wangu, haha poa tu
 
Sijui niseme nini..Darling unanipa furaha ambayo sidhani kama kuna binadamu mwingine anapata katika hii dunia wewe unajua hili ila acha leo niitangazie dunia, umekuwa mhimili wangu wangu mkuu katika maisha yangu kwa sasa na badae Inshallah. Kupendwa na wewe haikuwa jambo rahisi ingawa tulikutana kiutani tukaishi kwa utani kwa muda fulani hatimae Allah akabless.

Wewe umekuwa sababu ya mimi kuamini tena katika mapenzi umenifungulia dunia yako sasa nimekuwa nnachotaka YES beb nimekuwa nnachotaka sasa. Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda (babe usiwaze ujinga hapa 😀😀), unanijali na kunithamini nini tena nataka mimi?? au nikuletee mwenzio..usinipe jibu.

Honey you are in my heart each and everyday i can't stop thinking about you..if you escape me directly am going to die wallah..swetie am nothing without you..trust me i live only for your happiness.

No one can ever put us out of our ways..i cannot imagine life without you Madame S nakupenda
Umeua aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendane salama

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom