myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
mbunifu ni yule mtu anaeunda kitu chake yeye mwenyewe kikawa chake..hapo kwenye simu tungekuwa tunaendeleza kazi iliyofanywa na mbunifu...karibu jfTungekuwa wabunifu kwenye mambo ya kimaendeleo kama haya tulivyowabunifu wa maneno basi tungekuwa tunaunda simu zetu tu kwa sasa.
Kuna samsungmbunifu ni yule mtu anaeunda kitu chake yeye mwenyewe kikawa chake..hapo kwenye simu tungekuwa tunaendeleza kazi iliyofanywa na mbunifu...karibu jf
HELL NO, mkuu unahitaji maelezo mengi sana ili uelewe ubunifu ni niniKuna samsung
Kuna iphone
Kuna tecno, n.k.
Ubunifu sio hivyo tu ni pia kuja na kitu kama kilekile lakini kilicho bora zaidi ya mwenzako
Akha.Mnatumia route ndefu bure si mwende tu kwa Daby mrahisishe zoezi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zoezi gani?Mnatumia route ndefu bure si mwende tu kwa Daby mrahisishe zoezi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti la kusaka waume.Zoezi gani?
Atutue kwakweli.Eti la kusaka waume.
Sie tunataka mume special mwambie.
Atutaki wa kushare waume wanne
We nawe....Jf also people are express their fillings without any shame mhhhhh ??????
Sent using Jamii Forums mobile app
TenaaaaaaaaAtutue kwakweli.
TumeshaonanaSijambo mm tutaonana kesho makapuku nimeingia mara moja tu jf natoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We nawe....
Cha ajabu nini hapo.
Acha mapenzi yatawale na yatawaliwe.
Madame S na Archduke pendaneni mwaya.
Wenye roho za korosho watajikaanga.
Tusipokuwa na wapenzi, mnasema tuna gundu....tukiwapata mnasema hatuna soni.
View attachment 845784
Tunakutia katika Dustbin
nakupenda mimi Madame S πππWe nawe....
Cha ajabu nini hapo.
Acha mapenzi yatawale na yatawaliwe.
Madame S na Archduke pendaneni mwaya.
Wenye roho za korosho watajikaanga.
Tusipokuwa na wapenzi, mnasema tuna gundu....tukiwapata mnasema hatuna soni.
View attachment 845784
Tunakutia katika Dustbin