chogogwe
Member
- Aug 22, 2018
- 27
- 16
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Imekukera??? Hutuombei mema watuombea mabaya?? Binadam bwana, mbona hatupendani? Kwa hiyo unekaa hapo ukaona uandike hivi?? Baby Archduke naomba huyu awe mshenga wako mana jiroho lamdika dika naomba awe mshenga wako ajue kila kinachoendelea ili asipate shida kupata update zetu
Sent using Jamii Forums mobile app