Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Bahati nzuri mm ni mwelewa sana, nitavumilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati nzuri mm ni mwelewa sana, nitavumilia
AyaHamna neno ...
Mmmmmh!! Hahahhahahahaahahahaha imebidi nicheke na nimtoe kwenye avatar yangu, alhamdulillah anazo zinanitosheleza na mahitaj yangu japo sihitaj pesa kwakeNilitakaga kusema hivi. Anafaa kwa matumizi ya binadamu. Kama na hela iko basi ndugu kaokota fuko la hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaahaaa.. nilishasahau watanichuna ngozi humu.Una hamu ya kutukanwa leo eeh?
Wakikuanzishia usije kwangu kunililia.
Hahahahaaaa. Shauri yako.
Nilitakaga kusema hivi. Anafaa kwa matumizi ya binadamu. Kama na hela iko basi ndugu kaokota fuko la hela
Sent using Jamii Forums mobile app
aya
Hizo hizo zilizopo zinakutosha ndugu yangu kama zinatosha mahitaji.Mmmmmh!! Hahahhahahahaahahahaha imebidi nicheke na nimtoe kwenye avatar yangu, alhamdulillah anazo zinanitosheleza na mahitaj yangu japo sihitaj pesa kwake
Sitaki halafuyamekuwa hayo babe??
napita zanguNilitakaga kusema hivi. Anafaa kwa matumizi ya binadamu. Kama na hela iko basi ndugu kaokota fuko la hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri kaka ajeunataka nini mpenzi??
HahaahaaaHahahaha Madame B shukran jazillah, ndio binadam hawa tuwazoee tu, ukiona hivo jua nafasi hajapata na hajapata wa hivi anataman na yeye
Asante sana dadaHizo hizo zilizopo zinakutosha ndugu yangu kama zinatosha mahitaji.
Hongereni sana
Sent using Jamii Forums mobile app