Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Asante mnoo, nafrah kuona uwepo wako, ila balimi no.
Ntakuja na konyagi yangu kwenye chupa ya maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mnoo, nafrah kuona uwepo wako, ila balimi no.
Hahahahhahaa nimecheka yan ntainusa kwanza hahhahahaNtakuja na konyagi yangu kwenye chupa ya maji.
Hahahahhahaa nimecheka yan ntainusa kwanza hahhahaha
Usije nayo hiyo banaNdo komesha ya event zisizo na vilevi, unaingia zako umeshika chupa ya maji kumbe ushaweka mambo yako.
Relax mambo mazuri hayatak harakaUnemfungukia na kauzi ingependeza zaidi hahaa
Umeua ndege kibao kwa jiwe moja. Mna mambo sana nyie viumbe.Sijui niseme nini..Darling unanipa furaha ambayo sidhani kama kuna binadamu mwingine anapata katika hii dunia wewe unajua hili ila acha leo niitangazie dunia, umekuwa mhimili wangu wangu mkuu katika maisha yangu kwa sasa na badae Inshallah. Kupendwa na wewe haikuwa jambo rahisi ingawa tulikutana kiutani tukaishi kwa utani kwa muda fulani hatimae Allah akabless.
Wewe umekuwa sababu ya mimi kuamini tena katika mapenzi umenifungulia dunia yako sasa nimekuwa nnachotaka YES beb nimekuwa nnachotaka sasa. Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda (babe usiwaze ujinga hapa 😀😀), unanijali na kunithamini nini tena nataka mimi?? au nikuletee mwenzio..usinipe jibu.
Honey you are in my heart each and everyday i can't stop thinking about you..if you escape me directly am going to die wallah..swetie am nothing without you..trust me i live only for your happiness.
No one can ever put us out of our ways..i cannot imagine life without you Madame S nakupenda
KabisaWallah, ni kuwachukulia hivohivo siku zinakwenda
Aya bana nasubiri
Nahisi asinge nimention ndio angekua ameua ndege wengi maadam kanimention ina mana kua n ujumbe wangu peke yangu,nikutoe waswas tu
Sisemi kitubeb huku hivi kule vile nakuaje mimi??? hebu usinifanyie hivi basi babe please
We acha tu, nachompendea maneno mengi hana na s mtu wa kuongea sana vitendo zaidi, napendwa.
Alhamdulillah
Sitakisay some
Naamkipenzi changu