Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupenda pianakupenda
Sjazira bebusizire beb
Always bebthat's my woman
Hata sijui mwenye uzi ameongelea nini, nipo tuu [emoji847][emoji847][emoji847]Sijui niseme nini..Darling unanipa furaha ambayo sidhani kama kuna binadamu mwingine anapata katika hii dunia wewe unajua hili ila acha leo niitangazie dunia, umekuwa mhimili wangu wangu mkuu katika maisha yangu kwa sasa na badae Inshallah. Kupendwa na wewe haikuwa jambo rahisi ingawa tulikutana kiutani tukaishi kwa utani kwa muda fulani hatimae Allah akabless.
Wewe umekuwa sababu ya mimi kuamini tena katika mapenzi umenifungulia dunia yako sasa nimekuwa nnachotaka YES beb nimekuwa nnachotaka sasa. Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda (babe usiwaze ujinga hapa 😀😀), unanijali na kunithamini nini tena nataka mimi?? au nikuletee mwenzio..usinipe jibu.
Honey you are in my heart each and everyday i can't stop thinking about you..if you escape me directly am going to die wallah..swetie am nothing without you..trust me i live only for your happiness.
No one can ever put us out of our ways..i cannot imagine life without you Madame S nakupenda
jaribu mkuu...Sidhani kama itatokea
Itakua ngumu mno kwangu..jaribu mkuu...
mbona naona wengi humu wana "wapenzi:" wao.. .
sehemu zote zina wema na wabaya...
hata wanaume wa humu ...ni vile vile...
Sent using Jamii Forums mobile app
uko vizuri. tatizo ni ngumu kupata mkweli.... ..... lakini wamo na hii imezaa kitu kutokuaminiana humu!Itakua ngumu mno kwangu..
Sipend na sijui kuigiza..
AhahahaHata sijui mwenye uzi ameongelea nini, nipo tuu [emoji847][emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua nakusubiria wewe nione kama utasema neno.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haya sasa nimeshatia nenoNilikua nakusubiria wewe nione kama utasema neno.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ngoja niunge mkono hoja, hapa roho yangu kwatrreeeeee...[emoji12] [emoji12][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haya sasa nimeshatia neno
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi ngoja niunge mkono hoja, hapa roho yangu kwatrreeeeee...[emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inshallah