To you my love

Kuna kimavi kimoja hicho ndo nakikumbuka, kidogo watu wapigane humu wakikugombania aisee.
 
Nukuu

'' Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda"

Mimi kama mpenzi mtazamaji hii nukuu nimeielewa barabara[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kazi inaanza kukushinda mbona umechelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…