Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Na nani?Naogopa kusutwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nani?Naogopa kusutwa....
Nimemkumbuka tuuu mdogo wangu love so much kadogo kanguKafanyaje?
Naomba. Mbinu za kuwapataEbu tumia falsafa yangu mkuu, wala hautojuta.
Ujue nirahisi sana kutofautisha miandiko ya Ke na Me, ikiwa utachangamsha macho kidogo...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pm yako itajaa Leo[emoji5]Tena hapaswi kuwa muoga kabisa, maana humu jf pia wapo wenye mahitaji sawa na wahuku kitaa penye tunaishi.
Na, hawezi amini jf ina watoto visu na wenye upendo wa dhati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaushie
Wapo jukwaa gan la siasa nin?Tena hapaswi kuwa muoga kabisa, maana humu jf pia wapo wenye mahitaji sawa na wahuku kitaa penye tunaishi.
Na, hawezi amini jf ina watoto visu na wenye upendo wa dhati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mimi binafsi pamoja na mke wangu tunawatakia kila la kheri na Mungu awabariki sana.....[emoji120]kama huyu wangu
Da vinci bhana ah ah ah ah ah ah nimecheka sana aitheeeNaogopa kusutwa....
Wanaokutolea macho, wakisubiri uwape japo SalamNa nani?
Nikweli mkuu, omba Mungu nakisha anza kuvunja ukimya....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Naomba Mungu anikutanishe nae hata mmoja.m.
hebu nipe darasaEbu tumia falsafa yangu mkuu, wala hautojuta.
Ujue nirahisi sana kutofautisha miandiko ya Ke na Me, ikiwa utachangamsha macho kidogo...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wew unaweza mkaushia @bbdaeMkaushie
asante mkuu, tumebarikiwa....mbona hujamtag mkeo??Mkuu, mimi binafsi pamoja na mke wangu tunawatakia kila la kheri na Mungu awabariki sana.....[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Fungua rohoNaomba. Mbinu za kuwapata
kwa swala ukimya me nakataa labda unambie hayupo tayariNikweli mkuu, omba Mungu nakisha anza kuvunja ukimya....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo uijaze wewe, maana nipo taabani juu ya uwepo wako..... na hapa hata kuhema siwezi sababu moyo wangu umeuchukua....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Pm yako itajaa Leo[emoji5]
😀😀😀Tena hapaswi kuwa muoga kabisa, maana humu jf pia wapo wenye mahitaji sawa na wahuku kitaa penye tunaishi.
Na, hawezi amini jf ina watoto visu na wenye upendo wa dhati kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ujue mbinu za kivita hatuzimwagagi hadharani..... Ujue tumechanganyika na maadui humu....hebu nipe darasa