To you my love

To you my love

Lipi hilo mkuu, maana humu jf nakumbuka nimesha kuwa na vimavi heavy kama 4 times. Na hiyo ukiachana na zile ndogo ndogo ambazo zilihitaji jicho la 3 ili kushtukia picha....tehteehh.[emoji23] [emoji23]
Ebu nikumbushe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kimavi kimoja hicho ndo nakikumbuka, kidogo watu wapigane humu wakikugombania aisee.
 
Nukuu

'' Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda"

Mimi kama mpenzi mtazamaji hii nukuu nimeielewa barabara[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kazi inaanza kukushinda mbona umechelewa?
 
[emoji7][emoji7][emoji7]
.
download-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom