Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Kwan kafanya kibaya gan kiasi kwamba asisamehewe jaman....Simtaki tena kwakweli, asinizeeshe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan kafanya kibaya gan kiasi kwamba asisamehewe jaman....Simtaki tena kwakweli, asinizeeshe.
KulalekMie mwenyewe namfuma kila siku kwakweli sasa nimechoka.
MO11 am single from today.
Mkwe nitakuachia laana ujue.Kama hupandi wala hushuki..
Basi unaregwa...[emoji41]
Nb: Mkwe leo mimi makavu tuu..
Ameeen.
Nisingemficha wifi yako dada, haki vile...hebu mwambie shemeji anidokezee
ah ah ahAmeeen.
Haya, nani kakuficha.
Maana umepotea mpaka wasap naona giza tu
Tunampa saa hizi 24...usijali mwenza.Mwenza wewe ukisimamia show najua hachomoi atatoa tu.
Anajifanya haoni eti!!
Wacha tu Daby sikuhizi amekua mficha watu,sijui ana mpango gani hapa nimefanya tu kutoroka mara1...Hebu tuachane kwanza na hayo, nawe nimekumiss balaa. Nani anakuficha?
Uyo MadameB anaondoka kuna chaka kapataMichepuko kila kona, shamfumania hadi nimechoka. Alafu nilimkubali maana mke mwenza Madame B alikuwepo, kama anaondoka na mimi naondoka.
Am good dear, nimefurahi kukuona tena.Wacha tu Daby sikuhizi amekua mficha watu,sijui ana mpango gani hapa nimefanya tu kutoroka mara1...
Nipo my dear ni vile sikuhizi nakua mvivu kukoment naishia kupita,bila shaka all is well kwako mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwa hiyo mm mme wangu kanidanganya?? Haiwezekan kaka hajawah niongopeaNisingemficha wifi yako dada, haki vile...hebu mwambie shemeji anidokezee
Aitheee sio kwa kujihamin huku khaaaaahTunampa saa hizi 24...usijali mwenza.
Sa hv wanawake tumeinuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uyo MadameB anaondoka kuna chaka kapata
Sasa wew mwenzangu?
Au na ww umepata chaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambiele Kiviele usimkaushe uzazi mke mwenza wangu.Michepuko kila kona, shamfumania hadi nimechoka. Alafu nilimkubali maana mke mwenza Madame B alikuwepo, kama anaondoka na mimi naondoka.
MkweMkwe nitakuachia laana ujue.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]