Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kidogo yeye ana kaunafuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo yeye ana kaunafuu
Ndio.
Mtu chake acha tabia mbayaaDah hili jibu kiboko,salute kwako Mkuu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Zitafuteni jamani tuje kuzitumia.Nawaelewa vzr
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Ah ah ah ah Nawaheshim sana wanawake wa jfHata mi naona kwalweli, waache kukusingizia.
Cc ambieleKabisa.
Watakesha kwa waganga kutafuta nguvu za kiume....kumbe hawana pesa.
Pole zao
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]dada umenichekesha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi siwataki hata kwa toneewwNa ndio maana hatuwataki.
Khaaaa!!!!
Jaman mbona mnatusema sana khaaaaahKabisa.
Watakesha kwa waganga kutafuta nguvu za kiume....kumbe hawana pesa.
Pole zao
Akuuuu! Nyie ndio chanzo cha kufa na pressure. Si mnajileta wenyewe!!Pesa itatafutwa tuuu lakin sio kwa kama mnavyo sema nyinyi
Nyie ndio chanzo cha wanaume kufa kwa presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah ah ah ah ah Jaman mi nakanusha hii taarifa sijawai chat na mwanamke yeyote wa jfSema naongea na mme wangu nitarud nikupakee vya kutoshaa mxeeew mbahili wewe nakwambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew mi nikikutaka nakuja pale kino fasta tuuu nakubeba msoba msobaNa ndio maana hatuwataki.
Khaaaa!!!!
Tumechat kwenye comment mbona unajishtukia kama unaoga njeeAh ah ah ah ah ah Jaman mi nakanusha hii taarifa sijawai chat na mwanamke yeyote wa jf
Na wala sijawai kumtongoza mtu
Sent using Jamii Forums mobile app