Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe pia kaka angu, mlale salama huko nawapenda sanaMuwe na usiku mwanana na usingizi mororwo ukiambatana na njozi tam tam dada
Nipe kitanda na godoro uone kama sitalala
Unemfungukia na kauzi ingependeza zaidi hahaa
Haya ni zaidi ya mahaba wouzeeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Sihitaji tu kupenda tena mimi nampenda daktari najuta kwa mabaya yote niliyofanya lakini anatambua hilo nimedata kwake mpaka nywila ya Jf nimempa nitake nini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umekuwa kijana ema[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nipe kitanda na godoro uone kama sitalala
Hahahaha jamani
Wouzeeerr wouzeeerrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kwani umetajwa jina hapa?Mnashindwa kuelewa mim sijawai kuwa na urafik na Demiss
Sasa nashamgaa hili bandiko jaman
Mbaya zaid sijawainkuwa na uhusiano na mwanamke yeyote yule humu jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Auntie vyuma vimekaza mpaka mda wa kuingia jf sinaHivi tangu nakuita ulikuwa wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu...achana na wanaume wa humu.
Hawanogi hata kwa kulumangia
Ah ah ah ah ah ah ah NakaziaKwani umetajwa jina hapa?
Usitake kuchukua nyota za watu hapa.
Nyota ya mdogo wangu Demiss haibebeki kiurahisi wewe kiben-10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bichwa lako.
Kwema mama
KhaaaaaNimewaona kt, kumepoozaaaa.
Ema au hema la kwa Mwamposa?