Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Pm situmii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pm situmii
Na kwako auntie mwenyewe natokaUsiku mwema wapendwa.
Muulize amu ndio atakutajia jina lake vzrEma au hema la kwa Mwamposa?
Kazia, ila sie tunafunika kombe mwanaharamu upite
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaga bamdogoUnanicheka eeeh...nitamwaga radhi
Asante kwa kunikana live bila chenga za MessMnashindwa kuelewa mim sijawai kuwa na urafik na Demiss
Sasa nashamgaa hili bandiko jaman
Mbaya zaid sijawainkuwa na uhusiano na mwanamke yeyote yule humu jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo mm tutaonana kesho makapuku nimeingia mara moja tu jf natokaPouwa
Mama D hujambo?
Basi auntie tutokeUmeniamsha ujue!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujikute tu labda copy yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji12]Kazia, ila sie tunafunika kombe mwanaharamu upite
Kumbe ndiomaana juzi MP ilikutapisha eehhhh.....[emoji45] [emoji53]Pm situmii
Mwambie tuna screenshot zake.
Uwiii jaman unaniachaga hoii naona saivi ni fireeeee[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Haya ni zaidi ya mahaba wouzeeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Acha kulialia we ni mwanaumeMnashindwa kuelewa mim sijawai kuwa na urafik na Demiss
Sasa nashamgaa hili bandiko jaman
Mbaya zaid sijawainkuwa na uhusiano na mwanamke yeyote yule humu jf
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mfungulie uzi wake
Mmmmh Madame B umesikia huku
Kibenten marioooooKwani umetajwa jina hapa?
Usitake kuchukua nyota za watu hapa.
Nyota ya mdogo wangu Demiss haibebeki kiurahisi wewe kiben-10