Toa kiasi kidogo nitoe opportunity tushirikiane

kama uko dar es salaam njoo tabata kimanga nikupe pikipiki boxer kwa miaka mitatu uondoke nayo kaka
 
Nafkiri utakuwa hujanielewa...,

Mimi nina nafasi au wazo langu lakini kimtaji siko vyema sasa kwa yeyote wa kuwekeza niko tayari kushirikiana kadri nilivyojieleza.

Kwa anaehitaji kujua zaidi waweza kuniPM
 
Uko wapi na unahitaji kiasi gani.
 
We Wizzy,watu watatia shaka hata wazo lako.
We mtu atakujaje bila kujua wazo lako ni lipi na mtaji kiasi hani.Maana hakuna business Plan yoyote duniani ambayo haijulikani,tofauti inakuja tu kwenye sehem husika,muda husika,matarajio husika,na mazingira husika

Halafu kwa kukusaidia tu,mfumo huo hauwezi ku apply,sio kwamba nakukatisha tamaa,lakini presentation yako tu tayari ni loss,sasa hiyo biashara si itakuwa super loss business?

Muungwana hapo juu kakuuliza kwanza tu mtaji bado hujamjibu,yaani hata hili nalo gum?

Pia wapo watu wataotaka dhamana,maana kama unachukua 20% of net profit ni kwamba umeingia kwenye hisa kwa kuuza wazo.Haalfu unasema kwamba miaka minne akuachie.
Hii ndio imenichekesha kweli,yaani wabongo tumekaa kitamaa tamaaaaa
Kuna watu humu wana miaka 15 wanaendesha Daladala moja Gobole,Gobole hilo limeisha nunua Coaster karibia 7,lakini hata siku moja tajiri hajasema Dereva hembu chukua liwe lako.

Biashara yoyote yenye plan ya long time returns huwezi kuipa period ya miaka minne kuwa stable.

Fikiria kitu kingine twende kibaha tukalime,
 
Mkuu @ Zanzibar Spices

Nimekuelewa vyema lakini watu wengi waliokuwa na interest wameniPM.
Hata hivyo unavyonishuri tukalime bado nitahitaji mtaji

Ila nashkuru kwa mchango wako nimejifunza kitu.

NB:naomba ushauri kama kwa Milion 1 ntaweza kufanya biashara ya kusafirisha vyakula kutoka interior kuja DSM kama ndizi,mihogo,viazi,karoti n.k... Je changamoto zake ni zipi?
Zanzibar Spices

Asante kwa kunielewa mkuu.
1 ni kubwa sana,hembu njoo jukwaa la Wajasiriamali huku uone watu walioanza na laki tano leo hii habari yao kubwa
 
We Wizzy,watu watatia shaka hata wazo lako.
We mtu atakujaje bila kujua wazo lako ni lipi na mtaji kiasi hani.Maana hakuna business Plan yoyote duniani ambayo haijulikani,tofauti inakuja tu kwenye sehem husika,muda husika,matarajio husika,na mazingira husika

Halafu kwa kukusaidia tu,mfumo huo hauwezi ku apply,sio kwamba nakukatisha tamaa,lakini presentation yako tu tayari ni loss,sasa hiyo biashara si itakuwa super loss business?

Muungwana hapo juu kakuuliza kwanza tu mtaji bado hujamjibu,yaani hata hili nalo gum?

Pia wapo watu wataotaka dhamana,maana kama unachukua 20% of net profit ni kwamba umeingia kwenye hisa kwa kuuza wazo.Haalfu unasema kwamba miaka minne akuachie.
Hii ndio imenichekesha kweli,yaani wabongo tumekaa kitamaa tamaaaaa
Kuna watu humu wana miaka 15 wanaendesha Daladala moja Gobole,Gobole hilo limeisha nunua Coaster karibia 7,lakini hata siku moja tajiri hajasema Dereva hembu chukua liwe lako.

Biashara yoyote yenye plan ya long time returns huwezi kuipa period ya miaka minne kuwa stable.

Fikiria kitu kingine twende kibaha tukalime,

Mkuu Zanzibar Spices naomba ni PM details za kilimo hapo kibaha nipo interested.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom