Toa maoni yako baada ya kuona picha hizi

Toa maoni yako baada ya kuona picha hizi

20230416_202041.png
 
Tokea enzi ya mkapa mwenyekiti ni yule yule.
 
Maoni yangu ni kuwa: Hakuna jipya linaloonekana.

Picha(1). 'Wewe ndio kivutio
.Hapana wewe ndio kituko

Picha(2).'Jamaa kakaa sana pale' juu:'wapishane', 'mmoja jukwaa la kusini' 'aaaah' 'mwingine jukwaa la kaskazini'.....

'jamaa wote wanaruzuku, bora wale 19'
 
Back
Top Bottom