SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Akikujibu ni tag.Baada ya kurudia kuangalia hizi highlights nimejiridhisha pasi na shaka kwamba Mwakinyo ameshinda, kapiga point nyingi kuliko mpinzani wake japo kwa jicho la mtu asiyejua sheria za ngumi na how to score points ni ngumu kumuaminisha hilo kutokana na style aliyoitumia Mwakinyo (defensive), hiyo ni style ambayo Mayweather alikuwa akipenda kuitumia pindi alipokutana na bondia anayeattack sana japo watazamaji wengi hatuipendi (inapoteza ladha ya pambano), ni kama kwenye mpira timu inapopaki basi na kusubiri ushindi wa kuvizia, lakini mwisho wa siku ushindi ni ushindi. Hongera Mwakinyo japo nilitegemea utafanya zaidi ya hapo, huyo uliyepigana naye sio bondia wa kiwango cha juu na hatambuliki kabisa kwenye boxing world, kule boxrec ni no192 kwenye uzito wako duniani[emoji3][emoji3] ila umepigana naye kwa uoga sana, vipi ukikutana na kina Jermell Charlo utavuka hata round?[emoji38][emoji38]
Nakumbuka baada ya kumpiga Sam Aggington akaanza kusema "I want Kerr Brook"
Atamuweza?