cc @Zoe, umeweka vidoti ili tushindwe kukutag au vipi mrembo [emoji2377]
Karibu tena.
Haaahh Paula Paul huyu [emoji23][emoji23][emoji23] even me i appreciate her, wherever u are shout out to u mom!
Sent using Jamii Forums mobile app
Awwwww[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
Dear Ngorunde,
Uzuri wa hapa wanaokubaliwa hapa ni wadada tuu.
Mngejua ni wake za watu wala msingewafagilia kiivyo ila ndio hivyo basi ishakua jinsia pendwa.
Basi na mimi nisibaki nyumba nichukue nafasi hii kati ya wadada ninaowakubali kama sio kuwapenda moja wapo ni Paula Paul kama sio mchawi sijui maana sio kwa kupendwa huko na kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au nije kukutembelea halafu ipigwe marufuku kutoka nje.Dah, hata mimi namkubali sana.
Natamani niwe quarantine moja na yeye ya siku 30.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] ukizaa mtoto wa kike inabidi umpe jinaShadeeya
Mimi huwa napenda jina hili huwa natulia na kulitaja taratibu kwa sauti ya chini. Naikubali sana hii username ya huyu mkuu.
[emoji23]Uzuri wa hapa wanaokubaliwa hapa ni wadada tuu.
Mngejua ni wake za watu wala msingewafagilia kiivyo ila ndio hivyo basi ishakua jinsia pendwa.
Basi na mimi nisibaki nyumba nichukue nafasi hii kati ya wadada ninaowakubali kama sio kuwapenda moja wapo ni Paula Paul kama sio mchawi sijui maana sio kwa kupendwa huko na kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo asubuhi niliwaza hivyo aseeπππ
Unaweka ktk cheti mojakwamoja,,Leo asubuhi niliwaza hivyo asee[emoji3][emoji3][emoji3]
Japo jina lenyewe lina asili ya uarabuni na mimi ni wa upande wa pili lakini nini bwana, ni jina zuri na linamfaa yeyote.
Awwwww[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
Asante Moj6 na cymon toylor
I appreciate that, highly appreciated.
Kweli Moj6 mimi ni "kadem" nimejikuta nacheka sana.
Mkuu nimepona ukijichanganya hata shemeji naruka naeππππ
Unamjua sasa [emoji16]Mkuu nimepona ukijichanganya hata shemeji naruka nae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]