Toa shotout kwa memba unayemkubali

Toa shotout kwa memba unayemkubali

Kuna kadem kanaandikaga ngeli sana humu, jina lake linaanza na P

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahh Paula Paul huyu [emoji23][emoji23][emoji23] even me i appreciate her, wherever u are shout out to u mom!

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly,broh,she's big mind,

Sent using Jamii Forums mobile app
Awwwww[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
Asante Moj6 na cymon toylor
I appreciate that, highly appreciated.

Kweli Moj6 mimi ni "kadem" nimejikuta nacheka sana.
 
Uzuri wa hapa wanaokubaliwa hapa ni wadada tuu.
Mngejua ni wake za watu wala msingewafagilia kiivyo ila ndio hivyo basi ishakua jinsia pendwa.
Basi na mimi nisibaki nyumba nichukue nafasi hii kati ya wadada ninaowakubali kama sio kuwapenda moja wapo ni Paula Paul kama sio mchawi sijui maana sio kwa kupendwa huko na kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuwa mmojawapo wa unaowakubali huku nimefurahi sana Pendael.
Kwa kweli sijui ni uchawi hata mimi nashangaa inakuwaje. Asante sana.
 
Wapi mzee bujibuji.
Kidukulilo mtu yenye pesa yake.
Haaaa. Salaaam kwa bisho haswaaaaaaaaaaa.
 
Uzuri wa hapa wanaokubaliwa hapa ni wadada tuu.
Mngejua ni wake za watu wala msingewafagilia kiivyo ila ndio hivyo basi ishakua jinsia pendwa.
Basi na mimi nisibaki nyumba nichukue nafasi hii kati ya wadada ninaowakubali kama sio kuwapenda moja wapo ni Paula Paul kama sio mchawi sijui maana sio kwa kupendwa huko na kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom