Toa shotout kwa memba unayemkubali

Toa shotout kwa memba unayemkubali

Mambo ya sharauti!!

Sharauti kwa ndugu zangu wote toka mji wetu wa makapuku

Sharauti kwa ndugu zangu wa jukwaa letu lileee, jukwaa la ndugu wajumbe na mwenyekiti

Sharauti kwa ndugu zangu woote tunaokutana kwa PRIME MINSTER (pm) kule

Sharauti ndugu zangu woote wa jukwaa la michezo

Sharauti kwa sana kwa ndugu zangu wenye mchango mkubwa katika majukwaa ya intelijensia,intaneshino forum, gereji kule, jukwa la tekelinalokujia(teknolojia)

SHARAUTI
 
Back
Top Bottom