Toa stress zako hapa: Uzi maalum kwa ajili ya kutoa stress zako....(hasira, maudhi,uwoga....)

Nilipokuwa msichana mdogo Kuna mvulana nilikuwa nampenda sana kiasi kwamba nilikuwa namuona hajambi wala hanyi, yaani nilikuwa namuona sio MTU wa dunia hii
Baada ya kugundua huwa anakata gogo ulifanyaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…