Nina jamaa yangu amesoma degree ya kwanza BSC with education, lakini sasa anataka kusoma tena ,sasa amepata postgraduate diploma ya project planning and management na Masters of arts in education, anaomba ushauri akasome kozi ipi? na kwa nini?
Kwanini humu Jf kila anayeomba ushauri lazima aseme ana ndugu yake au mdogo wake ndio mwenye tatizo? Kwanini usiseme ni wewe tu ili tukusaidie au huyo ndugu yako degree holder hajui kutumia social media?