Toa ushauri wako Jamaa akasomee nini ?

Toa ushauri wako Jamaa akasomee nini ?

asanje

Member
Joined
May 24, 2013
Posts
24
Reaction score
0
Nina jamaa yangu amesoma degree ya kwanza BSC with education, lakini sasa anataka kusoma tena ,sasa amepata postgraduate diploma ya project planning and management na Masters of arts in education, anaomba ushauri akasome kozi ipi? na kwa nini?
 
Kwanini humu Jf kila anayeomba ushauri lazima aseme ana ndugu yake au mdogo wake ndio mwenye tatizo? Kwanini usiseme ni wewe tu ili tukusaidie au huyo ndugu yako degree holder hajui kutumia social media?
 
inategemea na mahali alipo ndugu sometimes mtu anaomba ushauri unaamua ushirikishe na wanajamvi ili kusaidiana mawazo.
 
ameshaajiriwa tayari na yupo huko mugumu-serengeti mkoani mara.
 
Back
Top Bottom