Toa yako ya moyoni kuhusu hii picha

Toa yako ya moyoni kuhusu hii picha

Mwaka mpya

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
213
Reaction score
222
Hivi nani aliomba apige picha na mwenzake apo??? [emoji41]
90374a8782c66705ec2e94962a35a364.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
maisha yaenda fasta kwel

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Hata darasani kuna watu wanakua vichwa ila mkija uraiani wewe uliyekua wa kawaida au mchovu darasani ndio unawapa msaada. Mambo yanabadilika.
 
Huyo jamaa aliyeshika chupa amefanana n.a. Diamond kweli Duniani wawili wawili.
 
Msifukue makaburi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sorry! Mi sina team[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom