Toa yako ya moyoni kuhusu hii picha

Toa yako ya moyoni kuhusu hii picha

dah!! kweli duniani wawili wawili aisee!!!

Nimemtambua mmoja tu hapo aliyevaa saa mkono wa kulia mwenye shati nyekundu simjui huyo aliyeshika chupa wanafanana na Diamond balaa!!
 
Torres alikuwa captain wakati Simeone anacheza pale AM, leo Simeone anamlipa Mshahara Torres.
 
Ndio maana Kiba huwa anaona uvivu ht kumjibu huyu kiumbe. Ni kweli amefanikiwa lakini naamini hakumbuki alikotoka.
 
Back
Top Bottom