Yapo mkuu, unatoa vumbi tupu. ##Hivi Kuna sehemu huwezi kupata maji ?
Kina gani mpaka mnaamua hapa maji hakuna? 100m ? 150m ? zaidi?Yapo mkuu, unatoa vumbi tupu. ##
Kama hakuna report ya survey, inamaana aliyependekeza kina cha kuchimba anaweza kuwa mteja mwenyewe kulingana na taarifa za majrani wenzake waliochimba au mchimbaji contractor kulingana na uzoefu, so ikiwa kina alichopendekeza mteja kikafikiwa na maji hakuna then inabidi kurudi mezani kujadili gharama za kuzidi kwenda chini mpaka kukuta maji ikiwa mtaafikiana then mashine itapigwa zaidi na zaidi,Kina gani mpaka mnaamua hapa maji hakuna? 100m ? 150m ? zaidi?
Kwa hiyo kama mahali hakuna historia ya boreholes; yaani wewe ni wa kwanza kujaribu kuchimba basi risk ni kubwa zaidi. Si ndio?Kama hakuna report ya survey, inamaana aliyependekeza kina cha kuchimba anaweza kuwa mteja mwenyewe kulingana na taarifa za majrani wenzake waliochimba au mchimbaji contractor kulingana na uzoefu, so ikiwa kina alichopendekeza mteja kikafikiwa na maji hakuna then inabidi kurudi mezani kujadili gharama za kuzidi kwenda chini mpaka kukuta maji ikiwa mtaafikiana then mashine itapigwa zaidi na zaidi,
Ikiwa kina alipendekeza contractor na maji hayajaowepo inakuwa balaa maana unaweza kulazimu kuchimba zaidi kwa gharama zako ili mteja apate maji uliyomuhaidi, ila kuna kukaachini na mteja ukamwelewesha pia.
300 M ndio conclusions ya dry hole.
Mimi siku zote nashauri tufanye survey ila mteja akiona gharama survey then risk atabeba mwenyewe,, underground water yanapatikana kwa kutoboa mwamba izo shallow water huwa zinadanganya mkuu,Kwa hiyo kama mahali hakuna historia ya boreholes; yaani wewe ni wa kwanza kujaribu kuchimba basi risk ni kubwa zaidi. Si ndio?
Nafikiria kuchimba sehemu karibu na kimto ambacho kinaanza kama chemichemi halafu maji yake yako juu ya aridhi kwa 200 mita halafu yanatokomea aridhini.
Kimto hakikauki unless kama ni ukame usio wa kawaida. Fikra zangu ni kwamba yanakotokomea kutakuwa na akiba.
Tungoje JibuGhalama za survey kwa mkoa wa pwani ni kiasi gani mkuu wilaya ya Bagamoyo