Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,334
Aisee umenikumbusha magroup ya marvel memes kitambo sana sijayatafuta, nikipata muda itabidi nirudi chamani aisee.Thanks mkuu. Hivi nilikua fb kwenye group la memes za marvel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee umenikumbusha magroup ya marvel memes kitambo sana sijayatafuta, nikipata muda itabidi nirudi chamani aisee.Thanks mkuu. Hivi nilikua fb kwenye group la memes za marvel
Nice replyToka nimezaliwa mpaka leo Real world haijanufaika nami kwa lolote..Though natamani mno ifaidike uwepo wangu kabla ya siku zangu hazijfika kikomo.
Ila Virtual world (JF) kwa mujibu wa maoni ya wadau imenufaika uwepo wangu kwa kiasi fulani kwa kushare mawazo yangu humu.
Natamani niweze kunufaisha kwa kiasi kikubwa sana kama wengine wafanyavyo!
Happy belated birthday, all the best!Dah mkuu,hbd
Kumbe tupo pamoja
Poa poa mkuu
Jaribu kupitia PM yako ujumbe utaukuta mkuuNilikua nina mwezi sipo jf..
Unaweza karibia