instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Mimi siyo mwijakuπ€£π€£Happy birthday to you mwi
Mbona sjaharibu ....ni wish happy birthday pleaseHapo mwisho umeharibu
Thanks muchHappy deathday to you
ThanksHappy deathday to you
YesDah, kumbe kuna watu tena wa umri mkubwa namna hii bado wanakumbuka hata tarehe zao za kuzaliwa?
Wallah nilijia mambo ya birthday ni kwa mabinti wadogo tu tena wale wa chuo kumbe hadi watu wazima wamo.
Amina comradeHappy birthday mkuu Mungu akupe maisha marefu
Dah anyway.Mara mia angemwaga nje kuliko kuwa na toto kama hili
Nimelia sanaDah, kumbe kuna watu tena wa umri mkubwa namna hii bado wanakumbuka hata tarehe zao za kuzaliwa?
Wallah nilijia mambo ya birthday ni kwa mabinti wadogo tu tena wale wa chuo kumbe hadi watu wazima wamo.
KIDUMU CHAMA TAWALA π₯Tar 1/08/1986 nilizaliwa
Ninafuraha kubwa kusherekea siku yangu ya kuzaliwa huku nikifurahia upendo wa Mungu juu ya maisha yangu.
Nichukue nafasi hii kuwashukru moderators wa jukwaa hili kwa kuendelea kunilinda maana wajumbe wengi walipendekeza nipigwe ban π€£ π€£
Once again "HAPPY BIRTHDAY TO MEπππ§
Naomba Muni - wish happy birthday
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Dah anyway.Mara mia angemwaga nje kuliko kuwa na toto kama hili
Amen ππΌKIDUMU CHAMA TAWALA π₯
Happy birthday to you gentlemen ππ
Mwandambo ndo naniMzee Mwandambo ujue una mbwembwe sana eeh!
Usiniite comrade tafadhali, hilo jina mmeshalichafua sitaki kulisikiaAmina comrade