instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
-
- #21
Sawa mkuuUsiniite comrade tafadhali, hilo jina mmeshalichafua sitaki kulisikia
Weye.Mwandambo ndo nani
Hapana syo mmWeye.
Asubuhi yote hii unakesha mitandaoni Hela utatafuta saa ngapiUmri huo bado unawaza birthday? Nyie watoto wa kike ni shida Sana
Weka namba ya simu basi utongozwe
Duuuh nyinyi ndio mnaanza kusema siku hizi km huna kadi ya chama hupati kazi serikalini kwa sababu serikalini siku hizi wanaajiri CCM tu, nipo nje ya mada mpaka siku ya kuzaliwa unaingiza mambo ya uchamaKIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Thanks much๐๐ผ๐๐ผโค๏ธHappy birthday instict ishi sana.
Acha kujikana wewe! Mungu hapendi.Hapana syo mm
Kwanini niseme uongoAcha kujikana wewe! Mungu hapendi.
Sijui Kwa nini unasema uwongo. Labda umepiga ulanzi kidogo.Kwanini niseme uongo
Hapana nimepiga kihambule na komoni๐คฃ๐คฃSijui Kwa nini unasema uwongo. Labda umepiga ulanzi kidogo.
Kumbe hizo zinasababisha mtu kujikana?! ๐Hapana nimepiga kihambule na komoni๐คฃ๐คฃ
Watakuwish machawa wenzioMbona sjaharibu ....ni wish happy birthday please
Enjoy your dayWatakuwish machawa wenzio
Shetani wa lumumba wewe
Shukrani sana ๐๐ผ๐๐ผHappy birthday brother uwe na maisha marefu yenye Baraka nyingi.
Amen ๐๐ผ