Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ughaibuni..........Mkuu..........Turabora Afaghanistan kwa Mzee Osama bin Laden.............🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵Wapi huko mkuu???
Nimeweka kwa wapenzi wa kike wangu wanipige kiss![]()
Mkuu sijaelewa unamaanisha nn kuweka hii picha.....Ila anyway happy born day
Nitamtuma Mulla aniwakilishe kwa hiyo atakuja na grenade kama zawadi ulimeze nijue kweli vijana mmeivaUghaibuni..........Mkuu..........Turabora Afaghanistan kwa Mzee Osama bin Laden.............🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵
Mkuu Mulla Omari Amefariki kama vile Mzee Osama Bin laden. Mwennyeezi Mungu awarehemu amin.Nitamtuma Mulla aniwakilishe kwa hiyo atakuja na grenade kama zawadi ulimeze nijue kweli vijana mmeiva
Happy birthday
Mkuu Mulla Omari Amefariki kama vile Mzee Osama Bin laden. Mwennyeezi Mungu awarehemu amin.
Life Goes On - Tupac...
Mkuu Miaka 53 ni miaka ya kawaida tu Kwa ulayaunaonekana bado kijana watu wana miaka 70, 80, na miaka 90 na ukiwaoan kama wtu wenye miaka 50 vile kitu cha kawaida usishtuke mkuu...Dah....mwana umegonga 53? Safii ..ingekuwa bongo ungekuwa umekopa mwaka mmoja....bongo mwisho 52...Jitahidi mwana..pigana huko angalau..uturushie hata ndaba zako zilizochoka...kila la heri kwa kipande kilichobaki🙂🙂