Today is my happy birthday karibuni nyote tushereheke sikukuu ya kuzaliwa kwangu

Today is my happy birthday karibuni nyote tushereheke sikukuu ya kuzaliwa kwangu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
SIKU YA KUZALIWA.png

53 years.jpg

KARIBUNI TULE JAMANI.jpg

ASALAAM ALAYKUM MARAFIKI ZANGUNI TODAY IS MY HAPPY BIRTHDAY SIKU YANGU YA KUZALIWA NINAWAKARIBISHA KWANGU MULIOKO KARIBU NA MIMI. NA MULIO MBALI NA MIMI MUNIOMBEE DUA NINAWAPENDENI NYOTE ASANTENI KATIBUNI NYOTE......
 
Attachments

  • happybirhday to me.jpg
    happybirhday to me.jpg
    12.5 KB · Views: 289
361729f1a03dc352dd23db6db8d09ceb.jpg

Mkuu sijaelewa unamaanisha nn kuweka hii picha.....Ila anyway happy born day
 
Dah....mwana umegonga 53? Safii ..ingekuwa bongo ungekuwa umekopa mwaka mmoja....bongo mwisho 52...Jitahidi mwana..pigana huko angalau..uturushie hata ndaba zako zilizochoka...kila la heri kwa kipande kilichobaki🙂🙂
 
hongera mkuu. sema daaah lugha yako inanipa ukakasi.
today is my happy birthday=wrong
today is my birthday=right
 
Happy birthday to you, may you live long to blow several candles.
 
Dah....mwana umegonga 53? Safii ..ingekuwa bongo ungekuwa umekopa mwaka mmoja....bongo mwisho 52...Jitahidi mwana..pigana huko angalau..uturushie hata ndaba zako zilizochoka...kila la heri kwa kipande kilichobaki🙂🙂
Mkuu Miaka 53 ni miaka ya kawaida tu Kwa ulayaunaonekana bado kijana watu wana miaka 70, 80, na miaka 90 na ukiwaoan kama wtu wenye miaka 50 vile kitu cha kawaida usishtuke mkuu...
 
Back
Top Bottom